Makosa ni mengi sana kwenye uandishi na Utangazazi Tanzania, na hata uhalisia wa habari na umuhimu wa habari zenyewe. Mfano, kwenye gazeti la Mwananchi la leo upande wa habari za michezo, waandishi Sosthenes Nyoni na Kalunde Jamal wameweka kichwa hiki cha habari "Chipolopolo kujipima kwa taifa Stars"
Hakyanani, hivi nani anayejipima kwa mwenzake hapa kati ya Chipolopolo na Taifa Stars?
Kama hii habari haina unazi, basi ni kosa la dhahiri hili....