Ila mbona Shafii ni Simba damu?Kuna shaffih Dauda yaani hafai kabisa, siku simba ikifungwa anakuwepo studio kwa kuisemea mabaya, siku ikishinda aonekani au akiwepo hafanyi uchambuzi! Leo simba kashinda ametoa tu matokeo akaamia sakata la nyoso!
Wanashindwa kutenganisha huduma kwa jamii na mahaba yake binafsi akiwa kazini, afadhali kidogo Shafii anafanyia chombo binafsi kisichoendeshwa na kodi zetu kuliko akina Enock wanaofanyakazi TBC taifa.Kuna shaffih Dauda yaani hafai kabisa, siku simba ikifungwa anakuwepo studio kwa kuisemea mabaya, siku ikishinda aonekani au akiwepo hafanyi uchambuzi! Leo simba kashinda ametoa tu matokeo akaamia sakata la nyoso!
Ila mbona Shafii ni Simba damu?
We ni nzi wa kijani, na umeandika kwa kuongozwa na mahaba. Tulia tu dawa ikuingie vizuri.Unamsikia kabisa mtangazaji akisikitika mpira unapoelekea upande wa goli la "timu yake" na kumlaumu beki aliyesababisha goli kufungwa.
maaviJuma Nkamia hakuwaga na mambo hayo enzi zake
Yule hafai hata kuchambua rede,eti still bado,sheeenziKuna shaffih Dauda yaani hafai kabisa, siku simba ikifungwa anakuwepo studio kwa kuisemea mabaya, siku ikishinda aonekani au akiwepo hafanyi uchambuzi! Leo simba kashinda ametoa tu matokeo akaamia sakata la nyoso!