Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

hivi kuna mtangazaji mmoja wa clouds 360 anaitwa komoga siku hizi yupo wapi vile

Kamonga alipewa shavu la ukurugenzi wa wilaya ya Mbulu na kwa bahati nzuri sana wilaya yake ikafanikiwa kuwa ya pili toka mwisho hapa Tanzania kwa kushindwa kukusanya mapaato ya Mr Jaffo lakini kwa kuwa ni mshikaji hakufanywa chochote badala yake jumba bovu hilo akamtupia DT wake ambaye mpaka leo hajachomoa
 
Clouds media is no more, soon inaenda kuwa kama Channel ten!!

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Watangazaji wa Clouds tv wamewashambulia vikali wabunge Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe kwa kubeba ajenda za taifa na kuwapelekea mabwana zao wakoloni huko ulaya.

Wamedai kuwa baada ya Lisu kuichafua nchi huko UK na Marekani na kukwama kwenda German ambako amenyimwa visa sasa amemtuma Zitto akakamilishe misheni hiyo iliyokosa uzalendo.

Waandishi hao Ngoma na Sasali wamewaonya wanasiasa wa Tanzania iwe CCM au wapinzani wasitake kuwalazimisha watanzania wote kuwa wanasiasa kwani kuna watu wengine kwao siasa ni dhambi.

Ijumaa karim
Maendeleo hayana vyama!
Wacha unafiki ingekuwa siasa ni dhambi using swash annulus hao wanasiasa kwani ndio kazi yao wanayoipenda na hao unaowaita mabeberu co kila kitu wanakubaliana nacho wanatazama mazingira na ushahidi hao wanaohangaika kuielezea Tanzania ilivyo hivi sasa ni wazalendo zaidi kuliko nyinyi mliojifungia hapo clouds na kuropoka bila kutoa facts.
 
Back
Top Bottom