utakuwa na hamu ya kungonoka tu mkuu usisingizie uGT
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Huwa nashangazwa nao pale mvua inapoanza kunyesha redio zote za Dar wanapiga zile nyimbo laini za kimapenz yaan R and B na countries kusuport watu wa Bongo waunganishe vikojolea comfortably.NYIE HAMJALISHITUKIA HILI SWALA?.(Tehe tehe kweli ukiwa great thinker raha)
Nafikiri wao pia ni binadamu wa kawaida na wanaendeshwa na hisia ambazo zinawaendesha watu wote. Tofauti ni kwamba wao wana access na public pindi wanapotoa mawazo yao.
hivyo, kwa kifupi ni kuwa huo ni mtazamo wa baadhi ya watangazaji na wala si wa watangazaji wote. Wapo wengine ambao hawapendi kuendeshwa na hisia za namna hii na hupenda kuzungumzia yale mambo ambayo kimsingi, huchangia kutatua matatizo yanayoikabili jamii.
Wengien nyie haijalishi mko wapi... Muda wote ni wa genye tu kwenuHapa nilipo nipo mzigoni ila ili swala lina ukweli ndani yake maana hali ya hewa ya ka ubaridi inatokea kwa nadra sana thats why wana respond nayo kuuonesha wanawajali wasikilizaji wao.
Husika na kichwa cha habari
hapo juu.
Huwa nashangazwa nao pale mvua inapoanza kunyesha redio zote za Dar
wanapiga zile nyimbo laini za kimapenz yaan R and B na countries
kusuport watu wa Bongo waunganishe vikojolea comfortably.NYIE
HAMJALISHITUKIA HILI SWALA?.(Tehe tehe kweli ukiwa great thinker
raha)