jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,339
Kufuatia kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba, na kuongeza anatamani kazi hiyo iishe hata kesho!!!!
Ni dhahiri kuwa Mungu akituweka hai Magufuli hatagombea tena urais 2020.
Ukweli huu umesababisha wanaccm kuanza kupigana vikumbo katika jitihada za kung'arisha nyota zao.
Mwigulu Nchemba anaonekana kulianzisha mapemaa na marufuku ya kusafiri nje kwa wale waliotajwa kwenye ripoti ya pili ya makinikia.
Lukuvi kaanza kitambo kidogo hadi kufikia kuzuia ujenzi kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, achilia mbali kunyang'anya ardhi kwenye manispaa zilizo chini ya vyama vya upinzani.
January bado anajiandaa atokeje, ingawa kampeni meneja wake (fina mango) amemchomeka pale Gymkhana club kuwa makamu wa mwenyekiti ili kutafuta uungwaji mkono kwa vingunge na vibopa wa chama.
Nimejaribu kumtafuta VUTA-NKUVUTE nijue msimamo wake juu ya tetesi hii nimeambulia patupu.
KAMA NI KKWELI TUNAWATAKIA KILA KHERI WAMACCM KATIKA MTIFUANO HUO.