Kati
ya maswala ambayo yamenichukua mda kuyatafiti pasipo majibu ni hili la
watanganyika kutolalamikia muungano tofauti na wazanzibar ambao wako
mstari wa mbele kuonyesha kosoro zake na kulilia maboresho, swali gumu
zaidi ni ama la watanganyika wameridhika nao? au wanangoja muda mwafaka
wa kutoa kero zao pia?
Kati ya maswala ambayo yamenichukua mda kuyatafiti pasipo majibu ni hili la watanganyika kutolalamikia muungano tofauti na wazanzibar ambao wako mstari wa mbele kuonyesha kosoro zake na kulilia maboresho, swali gumu zaidi ni ama la watanganyika wameridhika nao? au wanangoja muda mwafaka wa kutoa kero zao pia?