Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Ndege ya zanair imepata ajali uwanja wa arusha punde tu
hizi ndege ndogo zilizoko hapa nchini zinapaswa kuangaliwa upya.ni za zamani sana na technolojia zinazotumia ni GPRS na sio VOR kama. kama mitambo ya kisasa ya kuongozea ndege.ni ndege za miaka mingi sana na sidhani kama bado zinatengenezwa viwandani.juzi tu kuna moja imefeli break na kupitiliza uwanja huko zenji.kama sikosei ni zanair pia
Kaka mkubwa elimu haina mwisho hebu nijuze kuhusu hii GPRS na VOR. niko ki analogue yaani mzee