habari JF napenda kufahamishwa hili, hivi wanafunzi walioomba mkopo wa bodi kwa elimu ya juu maombi yao ya kukubaliwa yatajibiwa kabla au baada ya kulipoti vyuoni?
habari JF napenda kufahamishwa hili, hivi wanafunzi walioomba mkopo wa bodi kwa elimu ya juu maombi yao ya kukubaliwa yatajibiwa kabla au baada ya kulipoti vyuoni?
Ukiona umepata mapema jua unapata ile smst ya kwanza pale unaofungua chuo...
Ila km ukikata rufaa na ukapata au kuhamisha mkopo wako kutoka chuo kimoja kwenda kingne ndo unachelewa kupokea.
Sku hizi nawasifu, hela inaingia kwawakati ndomana hakuna migomo tena, majina yatatoka kabla ukiripot chuo mtasain mpunga unaingiag wiki tatu tu toka kuripot