Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,633
- 35,428
2. Nifundishe kitu ambacho unahisi nitakua sikifahamu.
Baba ……. urudi mapema leo nina hamu na wewe na nimepika ……… ila uje kwanza kunila mpishi, niko kitandani nakusubiri.
ki nandy1. Simi😬
3. Bae nikule/am ovulating 🌚
Asubuhi mapema, unalijua genye la alfajiri wewe 😂 😂Kumekucha huku nyuyokiiii😁
Acha kutaja taja ID zangu za zamani, naona umekuja na kaID kako kapya unatamba, nitakutaja wakujue 😂!daah mshangazi.com unatupeleka mbali kimawazo usiku huu tulionwapweke
Hebu kalale we mzee!Noma sana!
(2) jana ni bora kuliko leo, na leo itakuwa bora kuliko kesho kadhalika kesho itakuwa bora kuliko kesho kutwa.
Yote ya yote wakati si wa milele.
Akalalaje mwenyewe na anakusubiri?Hebu kalale we mzee!
Kabla sijalala nakuunga mkono kwanza.Hebu kalale we mzee!
Ifike mahala mimi na wewe tuanze kudate tu usikaze sana fuvu 😎Kumekucha huku nyuyokiiii😁
Yeye akalale tu. Mimi kuna issue nasikilizia🤣Akalalaje mwenyewe na anakusubiri?
Chenyewe, ila kiguswe guswe taratibu 😂1. Simi😬
Huna mambo mengi binti 😂3. Bae nikule/am ovulating 🌚
Hebu mtaje!😆Acha kutaja taja ID zangu za zamani, naona umekuja na kaID kako kapya unatamba, nitakutaja wakujue 😂!