Wataalamu wa umeme pitia hili pls

Wataalamu wa umeme pitia hili pls

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
Nipo kwenye shida ya umeme nimejaribu kutumia sola lakn inahitaj gharama kubwa oz jua sio la uhakika has a kipindi huku cha mvua.
Nikawa nawaza kutengeneza umeme wa bure.
Namaanisha ninunue DC motor.... Betr na alternator (autoneta za nagari).
Ambapo betr itawezesha mota kuzunguka then mota itazungusha autonator then autoneta izalishe moto ambao tuaunga betri ile ile na pia tuunge na matumizi mengine.

VP hii inawezekana?
 
Haiwezekani boss, Apo una circulate hio Energy ili uzalishe umeme ni lazima upate external source of energy hapo sana sana utapata loss tu
 
Iyo njia itafail. Coz Kuna power loss kwenye kila stage. System ukiiwasha usiku hata asubuh haitafika itakuwa dowm
 
Unataka uunde "perpetual energy" machine ambayo binadamu ameiwaza tangu aanze kutengeneza machine, haiwezekani.
 
Hiyo kitu hujaanza kuiwaz wewe mkuu wenzako wameiwaza mamia ya miaka nyuma lakini imeshindikana
 
Back
Top Bottom