Wataalamu wa umeme msaada tafadhali

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,328
Reaction score
1,666
Ndugu zangu wataalamu wa umeme naomba mnielimishe mtiririko wa wiring kutoka mwanzo mpaka kwenye mashine ya kusaga au kukoboa.Ni vifaa gani viwepo na hatua zake mpaka kuwaka kwa mashine yenyewe.Maana nasikia starter,gea switch n.k.Karibuni tuelimishane.
 
mill machine( kusaga /kukoboa) nyingi hutumia motor za above 7.5kW(10HP) ambazo zinaitaji starter aina ya Star-delta, forward and reverse@

kile kiboxi cha kidogo chenye push buttons za 'start/stop/emergency/ foward/reverse' ndio incorrectly tunakiita 'starter'

mle kwenye switch gear( ambapo ndio kuna protective gears( overload relay, fuse ) na control gears( contactors, timer relay) ) ndio hasaaa 'starter' yenyewe

kusaga ni forward direction , wakati kukoboa ni reverse direction


wiring zake zimejaa google, apo ni kidokezo tu
 
Shukrani kaka.
 
sio 20hp kusaga
15 hp kukoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…