wataalamu wa simu nisaidieni

Hyo camera imetoka kwenye connector yake either ulidodosha or uligongeza mahala na si tatzo la software ni hardware hyo so inatakiwa cm ifunguliwe camera ipachikwe vzur mi ningekufanyie bure kabisa ila hapo kwa fundi andaa si chini ya elf 15
Ni vyema kumsaidia lakini c kwamba mafundi wakichukua hela wanakosea hivyo c vyema kuwafundidha watu kukwepa gharama na ajue pia kuwa kuna risk kwenye kufungua cm
Dawa ni ku synchronise kwenye Google hapo hautakaa upoteze contacts
 
Ni vyema kumsaidia lakini c kwamba mafundi wakichukua hela wanakosea hivyo c vyema kuwafundidha watu kukwepa gharama na akue pia kuwa kuna risk kwenye kufungua cm
Sawa mkuu
 
Hili tatizo common sana kwa product za tecno mkuu na mara nyingi ikizingua ndiyo imetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…