Wereva ni nini maana yake?ngoja waje wanaotumia tecno wereva
maana yake ni no matter what will happenWereva ni nini maana yake?
Unataka nn vibakie ni contact au ni pic tusijawah na hata sijui inafanywaje.... ndio maana nimeomba ushauri kabla sija restore
thenx... iyo nimejarib mara nyingi bt imeshindikanaNenda sehemu ya Settings. Kisha kwenye Applications. Kisha kwenye All applications, tafuta Camera. Kisha Clear Data, then force to stop.
Kisha reboot simu yako. Itakuwa inafanya kazi kama kawaida.
yaan kwng mimi hiyo ndo slogan kubwa ya tecno me nilikuw na samsung s3 yang lkn baada ya kutoka tecni W3 niliipenda sana hivyo nilijichanga mwishoni mwa mwaka jana nikanunua ka w3 huku niifadhi Samsung yang. hazikupita hat wiki 3 nikaanza kuona matatizo kibao kamakwaiyo simu za tecno ni ilimladi tuu yaan hata ikiharibika it doesnt matter ....sio?
hakuna cm mbovu kama tecno W3 bora ntumie nokia ya torch kuliko kuangaika na tecno mi nna ka S2yaan kwng mimi hiyo ndo slogan kubwa ya tecno me nilikuw na samsung s3 yang lkn baada ya kutoka tecni W3 niliipenda sana hivyo nilijichanga mwishoni mwa mwaka jana nikanunua ka w3 huku niifadhi Samsung yang. hazikupita hat wiki 3 nikaanza kuona matatizo kibao kama
1. KUKATA KWA MTANDAO HUKU UPO ONLINE yaana kama ilikuwa 3g au h+ unakuta ghafla imepotea
2.KUPOTEA KWA MAFILE HASA MIZIKI hii ndo inanikera sana yaan kama nimechoka kusikiliza huo miziki inabidi niuache tu maana nikiufuta kama ulikuwa wa chainsmokers closer ntakuta na mingine miwili mitatu hiv haipo
3.KUSEMA FAIL IN GETTING INFORMATION hili tatizo nalo silielew linamaanishag nini ila linanikera sana
4.APPS KU STOP BILA SABABU NA SIMU KURUDI HOMEPAGE hili nalo ni tatizo kubwa sana na mara nyingi sana linatokea kweny simu za tecno kwa mfano upo unasikiliza mziki au unacheza game utashangaa gafla kile kitendo kina stop na simu inarud homepage au utaambiwa UNFORTUNATELY THIS APP HAS STOPPED
me nakushauri kama unauwezo kidogo uza hiyo tecno nunua Samsung au Nokia
si W3 peke yake we kama unamtu unajua ana hata W5 boom j8 camon cx muulize adha zk atakujibhakuna cm mbovu kama tecno W3 bora ntumie nokia ya torch kuliko kuangaika na tecno mi nna ka S2
Dah yan nina simu mbili tecno na nokia tecno haina hata mwaka bt matatizo kama hayo na mengine kibao bt nokia inamiaka kama miwil hivi haina hata tatizo yan inasikitisha kwakwelyaan kwng mimi hiyo ndo slogan kubwa ya tecno me nilikuw na samsung s3 yang lkn baada ya kutoka tecni W3 niliipenda sana hivyo nilijichanga mwishoni mwa mwaka jana nikanunua ka w3 huku niifadhi Samsung yang. hazikupita hat wiki 3 nikaanza kuona matatizo kibao kama
1. KUKATA KWA MTANDAO HUKU UPO ONLINE yaana kama ilikuwa 3g au h+ unakuta ghafla imepotea
2.KUPOTEA KWA MAFILE HASA MIZIKI hii ndo inanikera sana yaan kama nimechoka kusikiliza huo miziki inabidi niuache tu maana nikiufuta kama ulikuwa wa chainsmokers closer ntakuta na mingine miwili mitatu hiv haipo
3.KUSEMA FAIL IN GETTING INFORMATION hili tatizo nalo silielew linamaanishag nini ila linanikera sana
4.APPS KU STOP BILA SABABU NA SIMU KURUDI HOMEPAGE hili nalo ni tatizo kubwa sana na mara nyingi sana linatokea kweny simu za tecno kwa mfano upo unasikiliza mziki au unacheza game utashangaa gafla kile kitendo kina stop na simu inarud homepage au utaambiwa UNFORTUNATELY THIS APP HAS STOPPED
me nakushauri kama unauwezo kidogo uza hiyo tecno nunua Samsung au Nokia
Dah uko wap unifanyie[emoji6] maana hao mafundi watanipiga balaa na hii Hali ya magu crisis duhHyo camera imetoka kwenye connector yake either ulidodosha or uligongeza mahala na si tatzo la software ni hardware hyo so inatakiwa cm ifunguliwe camera ipachikwe vzur mi ningekufanyie bure kabisa ila hapo kwa fundi andaa si chini ya elf 15