FADHILIEJ Senior Member Joined Nov 5, 2010 Posts 132 Reaction score 18 May 18, 2011 #1 Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas. Ahasnteni.
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas. Ahasnteni.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 May 18, 2011 #2 Ipost jukwaa la teknolojia na magajeti, kuna wadau wengi kule.