Kuongeza mbali na kupata camera bora pia tafuta mkufunzi akufunze kupiga picha bora kutumia hizo camera,haitaleta maana kua na camera nzuri halafu unapiga picha kwa automatic mode pekee ,vyema uijue manual ili kutoa picha safi kwa kila eneo ,hongera sana wazo zuri sana