MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Nov 23, 2020 #1 Habari, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno. Msaada tafadhali
Habari, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno. Msaada tafadhali