Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

Moja ya mambo ambayo naenjoy kufanya ni haya aisee ila uwe na moyo sana na usiwe mtu wa kupenda sana utakufa

Hii kitu kwa mara ya kwanza 2013 nilianza kwa kudukua acc za Facebook za watu wangu wa karibu afu badaye nakuwa nawatania mulemule na kisha najiita nabii chuoni hahahaha

Pia kudukua namba za watu ni kamchezo katamu ila pis uwe na moyo
Pia nimegundua wengi wanapenda kufatilia mawasiliano ya wapenzi wao ila hapa wanajifanya hawataki

Sio wanaume si wanawake

Na katika enzi zangu
Nimewahi fatwa na watu wengi sana nashukur sikuwahi wasaidia maana unaweza kuwa vhanzo cha mauaji kwa wapenzi au kutarafiana

Kuna siku watakutaja tu utajulikana
Pemgine aibu au sheria za samja
Zikakumaliza

Cyber




Sema pia sijawah fanya kwa ubaya mfano kumdhalilisha mtu nk
lipia tangazo mkuu
 
Back
Top Bottom