Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,563
Mi yangu hata software zinagoma kuingiadaah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...
Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
so hapo tatzo ni keyboard au???daah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...
Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
pitia hii Youtube kus link ya pili ya google download hiyo tool kisha fuata maelekezo
Badili windows mkuu nshanikuta msala kama wako nilihangaika na kufanya settings nying sana mpaka nikaja kuibua na matatizo mengne kibao tu ndo nikaweka windows mpya tena ndo mambo yakakaa gud....daah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...
Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
Nipe steps bac, settings zp vileso hapo tatzo ni keyboard au???
jarbu kubadili setting kwanza uone
Tatizo ni hiyo sehem ya keybod af na window imeandika windw activate go to pc settingso hapo tatzo ni keyboard au???
jarbu kubadili setting kwanza uone
Nichek 0784 880 345 nikupe activation key za windows 8daah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...
Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
Pamoja mkuulink ya mediafire haifanyi kazi so tumia hiyo ya pili inakusaidia,
Huna za window tenNichek 0784 880 345 nikupe activation key za windows 8
HapanaHuna za window ten
Uko sahihi mkuu, nimetumia hiyo program ku activate windows10, it works 100%Tafuta program ya "KMspico windows activitor" google hasa hasa kwenye sites za torrents ndo utaipata.... Afu izi threads za kuactivate windows 10 zipo humu humu nyingi tu search utazpata....
True it workes.Badili windows mkuu nshanikuta msala kama wako nilihangaika na kufanya settings nying sana mpaka nikaja kuibua na matatizo mengne kibao tu ndo nikaweka windows mpya tena ndo mambo yakakaa gud....