Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
njunwa wamavoko nipo mkuu nakusikiza
Mkuu nashida nakutengeneza vi image vyenye "Njunwaz VPN"
Vyenye pixels na format nilizozi zitaja pale juu
Angalia labda mifano yangu ya Meteor VPN
Mchango wako ni muhimu
VB ni language yangu ya kwanza Kujifunza na niliichukia na kuitema mpaka leo siitaki kabisa 🙂
Kwenye General programming au lugha zingine tutasaidiana njunwa wamavoko
Sasa mkuu interface ya kasuku ulitengeneza vp?
Una maana Adobe Photoshop? Mara ya mwisho nakumbuka niliitumia shuleni wakati tunajifunza Adobe Photoshop Course.Kwa hiyo hata adobe huwezi
Mkuu CTO Gimp hafui dafu kabisa kwa Adobe photoshop au kwavile development zako zote unafanyia kwenye Ubuntu na huwezi kuinstall Adobe? Tumia Wine MkuuwxWidgets 101: Building Professional Application with C++
Una maana Adobe Photoshop? Mara ya mwisho nakumbuka niliitumia shuleni wakati tunajifunza Adobe Photoshop Course.
Mi natumia Gimp always
njunwa wamavoko
Gimp is quiet enough for all my works I do so why should I install PS?Mkuu CTO Gimp hafui dafu kabisa kwa Adobe photoshop au kwavile development zako zote unafanyia kwenye Ubuntu na huwezi kuinstall Adobe? Tumia Wine Mkuu
Mkuu kwani wewe hosanna unauza bei gani? mimi natumia sana PHP,JQUERY na JAVA kwenye project zanguGimp is quiet enough for all my works I do so why should I install PS?
I have layers, layer groups, Filters et al. I Just do not need PS 🙂
Kwanza iko overpriced!
mama toto
Bado Jopo la "Marketing" halijaamua. Ila moja kati ya vigezo ambavyo nitavipigania ni bei ya Kitanzania zaidi (Iwe tofauti na mtu anayenunua kwa dola toka Nje).Mkuu kwani wewe hosanna unauza bei gani? mimi natumia sana PHP,JQUERY na JAVA kwenye project zangu
Turushie demo tuijaribu mimi natumia sublime text 2 Netbeans na Espresso zote kwenye MAC vipi Hosanna inazama kwenye MAC au ni Windows tuu? Windows ni adui yangu namba moja kwenye technology ya computerBado Jopo la "Marketing" halijaamua. Ila moja kati ya vigezo ambavyo nitavipigania ni bei ya Kitanzania zaidi (Iwe tofauti na mtu anayenunua kwa dola toka Nje).
Well Inahitaji testers kama wewe. Ila inapaswa kufanya kazi.Turushie demo tuijaribu mimi natumia sublime text 2 Netbeans na Espresso zote kwenye MAC vipi Hosanna inazama kwenye MAC au ni Windows tuu? Windows ni adui yangu namba moja kwenye technology ya computer
Ok Asante mkuuWell Inahitaji testers kama wewe. Ila inapaswa kufanya kazi.
Kuna vitu vihache vya ku fix kabla ya kuiweka Demo. Nadhani haitapita wiki 2 itakuwa iko hewani.
Nitaku PM!
una logo yako? mi nna wazo kama unataka hako ka interface katumiwe na watu wengi ni bora usiite njunwaz vpn, ila kama ni yako mwenyewe poa,Sasa wakuu hatima ni nn