Watz tunayo chanyo ya asili ilijitengeneza yenyewe tatizo ni kwenu mnaochanja hadi kinga za mwili zinapungua kwani ukusikia madhara ya chanjo za kovidi na HIV
Tofauti yetu ni njia tuliyo tumia kukabili kovidi sisi tuliacha miili ijichakatue yenyewe kujijenga konga na gonjwa la kovidi wao walijificha hata ndui ina chanjo ya asili pia ukipata usife inakuwa imejitengeneza tayari pia hii chanjo ya korona siyo ya kweli kiufanisi ni mbwembwe tu
Mnawawekea watu vikwazo wasije nchini mwenu bila kuchanjwa.
Mzigo umetoka mpya.
Na huo mzigo ungeanzia Tanzania kwa wabishi sijui ingekuwaje.
Maana tungesemwa na dunia nzima.
KUISHI kwetu kimasikini masikini ndo dawa ya huu ugonjwa