New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,573
sisi walokole hatuamini ktk ndoto
Mkuu, Wala usijaali...hiyo ndoto ya kawaida!! Mulikuwa mmetupana mda mrefu " sasa mukumbukane "Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
Mjukuu wa mwenyewe huyoooo Chei chei ZZ!Mkuu, Wala usijaali...hiyo ndoto ya kawaida!! Mulikuwa mmetupana mda mrefu " sasa mukumbukane "
Alikuwa anatoa tena kwa wingi sana. Na ndio maana katika kitabu cha Ayabu anasema Mungu husema na mtu katika ndoto mara moja, na mara mbili kama mtu huyo hajali.Mungu hakuwa anawapa watu taarifa kwa kupitia ndoto?
Mmeota usiku wa saangapi?
Alikuwa anatoa tena kwa wingi sana. Na ndio maana katika kitabu cha Ayabu anasema Mungu husema na mtu katika ndoto mara moja, na mara mbili kama mtu huyo hajali.
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
Mmmh hii labda MziziMkavu anaweza sema kitu...sisi walokole hatuamini ktk ndoto
Nashukuru mkuu.
Sasa inakuwaje walokole wasiamini katika ndoto?!