Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Vp mbona kimya hamna anaetoa ushauri kwa mwanajamii huuyu? Naamini wengi wa members humu Jamvini wanamiliki haya magari, je ndo kusema hata wao hawayafahamu magari yao? Come on guys huyu jamaa inaelekea anataka kuvuta RaV 4.
RAV4 TX, GX, J, L, Base, ni ile ile ila options za gari hiyo ndo zinaweza kuwa tofauti kulingana na class yake. VW POLO VW GOLF zinatofautiana japo zote ni brand moja. lakini spare zake si nyingi japo haziharibu spea mara kwa mara na ikiharibu mkuu ni gharama kubwa kuirepair au kununua parts mpya. ila ukiwa unaipenda just go for it.
asante sana mkuu kwa msaada wako, ningependa kuelewa hizo options ndio zipi
...bofya na hapa Yahoo! JAPAN
Pole sana!asante mkuu, lakini mbona inanipeleka kwenye page ya yahoo iliyopo kwa lugha ya kijapan? dhamira yako ilikuwa kunisaidia kweli?
Google...Rav4ingia kwenye website ya toyota utapata ufafanuzi