mkuu hawa wenzetu wanatuchezea sana akili?? mfano ford ranger ya msauth huwa zinasumbua sana ukipoteza ufunguo au ikiferi upande wa immobilizer ipo complicated sana na hakunaga mafundi wanao fauru kutegua mtego wao option huwa inakuwa nikuagiza systerm nzima lkn ukweli ni kuwa mtego wao ni wakibwege sana nyuma ya injector pump kuna control ambayo inapokea signal kutoka kwenye control box ambayo nayo hupokea signal kutoka kwenye control ya immobilizer .sasa cotrol iliyopo nyuma ya pump ikisha pokea mahesabu yote yaliyokamilika ya signal basi huwa inafungua signal ya 12v positive kwenda kwenye switch ya pump .na gari inawaka.
ina maana ukiweza kukikabomoa na kukiondoa kicontrol cha pump kwa kuwa kipo sealed kinaifunika hiyo switch usiweze ifikie kwa uharaka na kama utaipa 12v gari inawaka bila shida.
shida yangu kubwa nikutaka kufaham operation ya hivyo vitu manually kwa sababu kwa kutumia mashine ni rahisi na unakuwa umefichwa zaidi.
ni sawa sawa nakuwasha tv kwa kutumia remote ni rahisi lkn mm nahitaji kufaham ni vipi na nikipi kinafanyika pindi unapo washa tv na remote??
je mkuu unaweza nishauri ni vitu gani natakiwa kuvifaham na kujifunza ili niweze kuwa na uelewa na haya nikuombayo msaada??
MKUU BADO SWALI LANGU NA KIU YANGU HUJAIKATA MKUU SIJUI KAMA UNANIELEWA AU MM NDIO NASHINDWA KUJIELEZA VIZURI.
labda nilivyofaham mm nikuwa kwenye remote huwa kuna kuwa na controller chip yenye miguu 16 na ndimo ambamo huwa kuna kuwa na hizo code 110110110110110 labda ni signal za kuunlock na 1110111011101110 kwaajili ya kulock . na kunakuwa na component nyingine ili kukamilisha saketi ya remote.
mfano hiyo remote imeharibika labda batton zake zimekufa au tufanye imevunjika je kwa kuichukua hiyo controller chip peke yake nataka kusoma hizo code zilizohifadhiwa humo ikiwezekana na kuzi copy kwenye controller chip nyingine??
na je hiyo lugha iliyotumika humo ya hizo code za namba namba huwa haziwezi kusomeka na kupata nn maana kwa lugha ya binadam??
mfano kwenye EEPROM ya kwenye cluster ambamo km za gari zilizotembewa huhifadhiwa huweza kusomwa na kutafsiliwa like 8A 89 DD FF =2690KM kama sijakosea.