Nyamulekwetu
Member
- Feb 17, 2016
- 38
- 11
Wireless card ndo inatumika kwa pc kama unayo iyo then connection na wifi ni possibleNinaomba kujua kama destop computer ina Wifi? Na kama ipo iko sehemu? Mfano kwenye kwenye kompyuta mpakato huwa kuna alama ukibonyeza tu inawaka na kuendelea kutumia,lakin kwenye desktop computer siioni hyo alama kwenye keyboard km ilivyo kwenye labtop? Msaada waungwana
Ni mgeni wa mambo ayoo mkuu.. Nauliza 2... Iyo wireless card inaingizwajee? Na inakaa sehem gan kweny desktop pc15000 machinga complex,kkoo inaweza ikazidi iyo
Ni mgeni wa mambo ayoo mkuu.. Nauliza 2... Iyo wireless card inaingizwajee? Na inakaa sehem gan kweny desktop pc
Apoo mkuu nime kupataa vizurii
Nimekuelewaaa vizur kabisaaaa ntazipata wapi mkuuu
Kwa xaiv nipoo mbeyaa apa cjui zitakuepoo?kwenye duka la computer accessories lolote lakini maximum kko kama upo dar na kama unataka cheap machinga complex zipo wanauza 15000tsh
Yaa tembelea computer accessories ilio karibu nawe utapata tu,ikishindikana tembelea makampuni ya network providers (tigo,voda,airtel) watakupa ya usb.Kwa xaiv nipoo mbeyaa apa cjui zitakuepoo?
mkuu zinauzwaje hizo adapterSiku hizi Kuna USB WiFi adapter ambazo Ni simple na laisi kutumia unachotakiwa Ni kuchomeka katika USB port drive zikisha load na kukaa sawa basi utaweza ifanya laptop ama desktop yako kuweza access WiFi
price uanziya 15 chek kkoo kwenye maduka ya computer and networksmkuu zinauzwaje hizo adapter