Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Itakuwa ni Virus, nakushauri tuamia Kaspersky ORIGINAL sio ya kichina, au McAfee Anti Virus.
Thanks,but hawa ni virus wa aina gani wasiosikia hata nikiformat kompyuta?
Virus hao! Hakuna haja ya kuumiza kichwa!
Laptop yangu aina ya compaq 610 inatabia ya kukataa software mbalimbali,nyingine niki install zinakubali na zinafanya kazi ila nikirestart tu pc kosa zinaleta error.Mwanzoni nilizani tatizo ni window(window7) nikajaribu kuirudisha windows vista ambayo ndo niliikuta kipindi nimenunua pc bado tatizo ni lilelile.Naomba mnijuze tatizo linaweza kuwa lipi coz virus pia sio tatizo nna updated antivirus.
Pole sana, Information ulizotupatia ni chache. Tunahitaji kujua ni software zipi umeinstall zikafanya kazi na baadae zikakataa. Hii itasaidia kujua kama laptop yako iko compartible na kama ina uwezo wa kuzihifadhi. Je computer yako inainstall updates kama kawaida? Je hiyo operating system ni genuine au umetumia remove WAT. Tunahitaji kujua your RAM, storage capacity and how much is free nk.
Inawezekana hizo software zako ndio zina virus kwa hiyo hata ukifornat ni bure tu kama ukiziinstall, au inawezekama OS yako ina virus kama sio Software zako.
Embu jaribu angalia kama wndow unazo weka ni 64 bits au 32 mana kama ni 64 afu we ukaweka software ambayo ni ya 32 lazima ikugome. Mtazamo wangu 2
Nashauri kama wewe huna utaalamu wowote wa computer basi usijifunzie ktk laptop yako kama unaipenda maana tayari huyo ni mgonjwa anahitaji kumuona dakitari na hiyo ndiyo solution. Yawezekana ni hardware related problema (eg memory) au BIOS related, au virus. Kumbuka virus wana wigo mpana sana hivi sasa, ndani yake kuna worms, hardaware na malware hivyo lazima uwe na sophisticated intelligent antivirus software kama Dr web na NOD32 internet security ndo unaweza kuwakamata hawa. Kaspersky ina mapungufu haioni worms mfano 'autorun' ambaye hushambulia tokea kweye Bootsector ya Hdd, Flash drv, Ext. Hdd au Memory.
Naomba Nitofautiane na wewe(King Kong III)! Maelezo aliyoyatoa muuliza swali ni mafupi mno! Wachangiaji waliopita hapo juu wametoa mwongozo mzuri sana kwake. Inasikitisha jinsi ambavyo majibu ya mkato yanavyotolewa na vile vile wanaotaka kusaidiwa wasivyotaka kusaidiwa. Kama mtu anaweza kupata muda kuandika tatizo lake hapa, kwanini asipate muda wa kujibu maswali ya wataalamu wanaotaka kumsaidia?
ni 64bits,software nazoweka ni current1
ni hivi inaonekana hiyo mashine yako ni 64bits alafu wewe unaistall software za 32 bits,so nakushauri ujue mashine yako kama ni 64bits au 32bits then tukusaidie.
Skia mwana software kuwa current sio tatzo. We umesema mashne yako ni 64 bits tafuta software yako ambayo nayo ni 64 bits.mana software ziko za 32 bits na 64 bits pia .download version ya 64 afu instal
jamani namimi natatizo moja la laptop yangu hp pavallion nc6000 hii? nikiwasha laptop inawaka taa za batani tu na kwenye screen hakuna mawasiliano yeyote na feni ya cpu inawaka nakukata inaleta mchezo wa kujiwasha na kujizima tatizonini nisaidiene kwenye hardware ni check nini hapo