[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naimagine pc yangu ifanye hivi dah..pole mkuu.
Since hujatoa info muhimu zozote ngoja njaribu kukupa solution kwa kuotea,jaribu kuscan virus kwa antivirus inayojielewa,ikgoma jarbu kufanya repair upgrade ikigoma pia embu kagua keyboard kama nzima (hapa utahitaji fundi)