Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Haipati moto natumia tigo, kwani line ya simu hapa ina matter? Yani chaji inaingia kimagumashi na inaisha kama maji daaahhaipati moto simu? unatumia halotel? ukizima data pia inakuwa hivyo hivyo?
pengine battery/simu ni mbovu.Haipati moto natumia tigo, kwani line ya simu hapa ina matter? Yani chaji inaingia kimagumashi na inaisha kama maji daaah
Poa kiongozi ngoja na mimi nijaribu kubadili betriNilishawah kuwa na samsung kma hii nilibadil Betri ikawa shwali.
Daaaah. We jamaa acha tu pasua kichwaas4 upande wa betri ni changamoto, mimi ilinitesa sana nitanunua jingine yakawa yaleyale hadi nilipofaulu kuiuza ikawa pona yangu,
Daaaah. We jamaa acha tu pasua kichwaa