Siku nyingine jifunze kutumia umoja na wingi katika sentensi zao. Ndio maana wanakushambulia. Kama ni mmoja sema MSUKUMA NA SUKARI na kama ni zaidi ya mmoja heading yako ndio itatumika
Ndugu makabila hapa Tz yana utani. Ukiona mashambulizi mengi ujue mna watani wengi by the way wasukuma ni kabila kubwa so kutaniwa sana jambo la kawaida.
Ndugu makabila hapa Tz yana utani. Ukiona mashambulizi mengi ujue mna watani wengi by the way wasukuma ni kabila kubwa so kutaniwa sana jambo la kawaida.
Haya tunakubali, basi mtulipe, watu wa masoko hasa, wanawakandamiza wasukuma sana kwenye mawasiliano, benki hata bima, uzuri mnatuona malodi lofa, hela tunayo kwa namna moja au nyingine, kateni pochi..