Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,754
huyu mwanamke ana mapepo ama amnataka kuwa juu ya mwanaume ...... kila muda kuachana tu
Msanii wa bongo movie Wastara amemchana mpenzi wake wa sasa Bond kwamba asipojirekebisha baadhi ya tabia zake atamuacha na akimwacha hatarudi tena kwake.
Wastara amefunguka na kusema anaweza kuvumilia shida anazopata kwa Bond lakini anaweza kumuacha muda wowote kwani hahitaji ‘stress’ za kimapenzi huku akiweka wazi kuwa amejitahidi na amefanikiwa kumrekebisha kwa 80 % na endapo ataendelea na mambo yake ya zamani zamani ataachana naye.
Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Wastara amesema
“Niseme tu ukweli kwamba kwa Sajuki hakuna mtu anayeweza kufikia upendo wetu kwa kuwa Sajuki alikuwa anajali kila kitu ambacho nilikuwa nakipenda.
Kitu ambacho mpaka sasa sijapata ni mtu ambaye amefikia hatua za Sajuki “. Alisema Wastara.
Source: Eatv.
Asepe tu moja kwa moja ili na mimi nitege mingoo maana ashakuwa cha woteKitu asichokijua wastara ni hakuna mkamilifu 100% zaidi ya aliye juu
Amuache aende kwa mwingine ambaye naye atakuwa na mapungufu
Mwisho wa siku ndio inafikia ile stage ya mwanamke 'screpa'
Lait angekusikiaKitu asichokijua wastara ni hakuna mkamilifu 100% zaidi ya aliye juu
Amuache aende kwa mwingine ambaye naye atakuwa na mapungufu
Mwisho wa siku ndio inafikia ile stage ya mwanamke 'screpa'
wanaume wote wako kama wamezaliwa na mama mmoja tabia zao hazitofautiani sanaKitu asichokijua wastara ni hakuna mkamilifu 100% zaidi ya aliye juu
Amuache aende kwa mwingine ambaye naye atakuwa na mapungufu
Mwisho wa siku ndio inafikia ile stage ya mwanamke 'screpa'
Katik kitu ambacho cpend ni mwanamke kutaka kunitawala...Hivi, inakuwaje mwanamke anakutawala?!
Umeona mkuu. Kama mwanaume unajitambua hili halivumiliki kabisa.Katik kitu ambacho cpend ni mwanamke kutaka kunitawala...
Aisee nampa red card mapemaa maana hizo ni dharau