Wassira: Pole Sana Singida kwa kuzaa mwongo mwandamizi

Kipindi cha Nyerere yupo
Kipindi cha Mwinyi yupo
Kipindi cha Mkapa yupo
Kipindi cha Kikwete yupo
Kipindi cha Magufuli yupo
Kipindi cha Samia yupo

Hivi huyu mpuuzi hana kazi za kufanya !.
Unafikili akili bado anayo?
 
Wasira amepiga kwenye mshono
POLE MZEE WASSIRA MWANASIASA MZEE KWA KUPANDISHWA KWENYE MAJUKWAA NA UZEE WAKO VIJANA WANAPIGA PESA WEWE UNATESEKA KUWATETEA PUMZIKA MZEE WANGU
dw_kiswahili_1690475383281539.jpg
 
Jirani zake wa Kushoto na kulia Masaki ni Mh.Jakaya na Mama Sophia Simba

pia anazo apartment jirani na ubalozi wa Kenya Ally Hassan Mwinyi Road

hivi ni kwa uchache sana

Mtoto aliezaliwa wakati Wasira yupo Siasani ameshastaafu lakini Mzee bado ndio kwaaaaanza Kamanda wa vijana
Niliwahi sikia mzee ana ekari zaidi ya 200 huko Kihuluka (usiniulize ni wapi) lakini hajaendeleza hata moja na imepita zaidi ya miaka 10. Utamfanya nini
 
Kipindi cha Nyerere yupo
Kipindi cha Mwinyi yupo
Kipindi cha Mkapa yupo
Kipindi cha Kikwete yupo
Kipindi cha Magufuli yupo
Kipindi cha Samia yupo

Hivi huyu mpuuzi hana kazi za kufanya !.
Wanaomfahamu watueleze amefanya nini Cha maana kwenye Nchi hii? manake alikuwa anagandisha Samaki pale msasani Mkwere ndio alimtoa
 
Kwanini hamkumpa urais Kama afya ya akili inaruhusu Kwa kipindi kirefu hicho
Sikubaliani na Wassira Kuwa upande wa wauza Nchi,

Nampongeza Kwa zawadi ya AFYA na Akili Mungu alizomjalia na kumpa umri mrefu akiwa Bado na nguvu.

Ushauri wangu, asipambane na vijana, watasababisha AFYA yake kutetereka.

Ajibu wazee wenzie kina Prof Shivji Kwa HOJA, kifungu Kwa kifungu, anao uwezo huo.
 
Wanaomfahamu watueleze amefanya nini Cha maana kwenye Nchi hii? manake alikuwa anagandisha Samaki pale msasani Mkwere ndio alimtoa
Kazi yake ni mshauri ndio maana anawafundisha nyie mbumbumbu mnaohemka hovyo ,unaweza kuuza mpaka?
 
Kipindi cha Nyerere yupo
Kipindi cha Mwinyi yupo
Kipindi cha Mkapa yupo
Kipindi cha Kikwete yupo
Kipindi cha Magufuli yupo
Kipindi cha Samia yupo

Hivi huyu mpuuzi hana kazi za kufanya !.
We Ile sura unaona ya kawaida Ile? immortal yule
 
Back
Top Bottom