Wassira kwenye press conference....!

tuache majungu muacheni babu afanye kazi yake ya kuimaeisha na kupunguza matatizo ya chama chake ye ni kama mchezaji wa timu,huwezi kumzuia kufunga magoli
Kesha jifunga mwenyewe tena la kuotea.
 
Kwenye suala la kujivua gamba ccm waliingia choo kibovu!
 
Mzee wassira a;ichokifanya ndo kitu muhimu kwa chama,tusitumie ubabe kuwanyamazisha watu katika chama,hiki ni cham cha watu wote walio wanachama,sio mawazo ya mtu mmoja,Mzee huyu ameonesha ukomavu wa kisiasa sana,na hakika CCM wasipoangalia katika idara ya uenezi,naumia kuona chama kinakwenda kuporomoka,uongozi wa uenezi sio kubishana kila jambo,chama kina majukumu mengi,kwa nni wasihubiri sera na mambo aliyotekeleza JK ,utasikia mara nitawashikisha ukuta,mara mnageuzwa nyuma na mbele hii ni hatari sana ndugu zangu kwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…