Mfa maji haishi kutapatapa ndugu yangu. Si wamesikia nape anaweza kukabiliwa na so mahakamani, labda wanamwandaa wassira kuchukua nafasi yake.huyu wassira ndo msemaji wa chama siku hizi au ni nani?
Bunda wana bahati mbaya sana kuwa na mbunge asiye na busara kama huyu.Ukoma ulimuingia mpaka kwenye ubongo ukamuathiri uwezo wake kufanya mambo kwa busara.Amewakimbia wananchi wa Bunda huyo babu.
Naona hilo laweza kuwa tatizoBunda wana bahati mbaya sana kuwa na mbunge asiye na busara kama huyu.Ukoma ulimuingia mpaka kwenye ubongo ukamuathiri uwezo wake kufanya mambo kwa busara.
Katibu Mkuu wa Chamna chake yuko wapi kuyazungumzia hayo ?conference imeisha na kikubwa alichokiongelea ni juu ya mgogoro wa uvccm arusha....!
Anasubiri uchaguzi mdogoKatibu Mkuu wa Chamna chake yuko wapi kuyazungumzia hayo ?