Marwa Chacha
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 102
- 51
Rione ririvyo! Sura na kichwa km sokwe mtu......WATZ WAMECHOKA HAWATAKI TENA NGONJERA ZA CCM
Ungekuwa umemsema Zitto ungepigwa ban ya kufa mtu, hivi ma mods wa JF wana mahusiano gani na Zitto?? embu nisaidieni jamani khaaa!!
Huyo mwenyekiti anachaguliwa na watu gani?Mbunge wa Bunda napia waziri wa kilimo na chakula Mhe Wasira.ameshindwa kwa mbinu zake chafu hii leo katika uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa mamlka mji mdogo wa Bunda mbinu zake zakutaka mwenyekiti aachaguliwe kinguvu kutoka ccm.ambapo viongozi wa Ukawa walisimama na kupambana na mbinu hizo chafu.nakufanya uchaguzi usifanyike hadi itakapo tangazwa tena.
Ungekuwa umemsema Zitto ungepigwa ban ya kufa mtu, hivi ma mods wa JF wana mahusiano gani na Zitto?? embu nisaidieni jamani khaaa!!
Ungekuwa umemsema Zitto ungepigwa ban ya kufa mtu, hivi ma mods wa JF wana mahusiano gani na Zitto?? embu nisaidieni jamani khaaa!!
Sisi tulikuwepo,Wasira anaheshimu sana demokrasia.Mbunge wa Bunda ambaye pia ni waziri wa kilimo na chakula Mhe Wasira.ameshindwa kwa mbinu zake chafu hii leo katika uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa mamlaka mji mdogo wa Bunda mbinu zake zakutaka mwenyekiti aachaguliwe kinguvu kutoka CCM.
Ambapo viongozi wa UKAWA walisimama na kupambana na mbinu hizo chafu.Nakufanya uchaguzi usifanyike hadi itakapo tangazwa tena.
Wewe na nani kinyago Wa mpwapuleHapa bunda huyo sokwe hatumtaki
Ungekuwa umemsema Zitto ungepigwa ban ya kufa mtu, hivi ma mods wa JF wana mahusiano gani na Zitto?? embu nisaidieni jamani khaaa!!
Unadiriki kumuita binadamu mwenzio sokwe kisa we chadema yeye ccm?na mods nao wanachekelea tu!
Unadiriki kumuita binadamu mwenzio sokwe kisa we chadema yeye ccm?na mods nao wanachekelea tu!
Huyo mzee mwaka huu hana chake!!asubiri kuteuliwa kuwa balozi may be kama mamvi akifanikiwa kupenya ngome ya UKAWA!!