Mh wasira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanao wafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania. Ukawa wamekuwa wakwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
Vipi Kwani ulitaka amwachie mama yako?Nilianza kuwadharau UKAWA baada ya kuona wakiongozwa na 'INTERAHAMWE-ORIGINAL', LIPUMBA!
HEBU JAMANI HUYU LIPUMBA ATUELEZE NI KWANINI KILA MWAKA AGOMBEE YEYE TU URAISI NA HATA MARA MOJA SIJAMSIKIA JAPO AKIONGELEA TU KUMUWEKA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, KWA TIKETI YA CUF, KUTOKA PEMBA! JE HUU SIO UBAGUZI?
JAMANI HAMNA INTERAHAMWE MWINGINE BONGO ZAIDI YA LIPUMBA!
Mh wasira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanao wafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania. Ukawa wamekuwa wakwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
Mh wasira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanao wafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania. Ukawa wamekuwa wakwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
Nilianza kuwadharau UKAWA baada ya kuona wakiongozwa na 'INTERAHAMWE-ORIGINAL', LIPUMBA!
HEBU JAMANI HUYU LIPUMBA ATUELEZE NI KWANINI KILA MWAKA AGOMBEE YEYE TU URAISI NA HATA MARA MOJA SIJAMSIKIA JAPO AKIONGELEA TU KUMUWEKA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, KWA TIKETI YA CUF, KUTOKA PEMBA! JE HUU SIO UBAGUZI?
JAMANI HAMNA INTERAHAMWE MWINGINE BONGO ZAIDI YA LIPUMBA!
Mbona mataifa ya ughaibuni ndiyo yanayoifadhili serikali. Asilimia kubwa ya bajeti wanatoa wao. Halafu si unajua rais wako kila siku yuko huko ughaibuni kuhemea vibaba. Kama ni uzalendo mtu wa kwanza kukosa uzalendo ni rais. Ameunda tume mwenyewe imetumia mabilioni halafu anaikana na kubeza maoni ya wananchi na kututishia jeshi. Kwa mawazo yake anafikiri jeshi ni toi. Kiongozi yeyote aliyeshindwa kazi na dhaifu hukimbilia kutumia polisi na jeshiMh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.
UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.