McEM Member May 7, 2011 64 3 Aug 21, 2011 #1 Naombeni kujua,nasikia kuna asikari polisi mmoja songea,kibaru kimeota majani kwa kosa la kuandika barua kwa mh. rais ya kudai kuongezwa posho (ration allowance).
Naombeni kujua,nasikia kuna asikari polisi mmoja songea,kibaru kimeota majani kwa kosa la kuandika barua kwa mh. rais ya kudai kuongezwa posho (ration allowance).