Wasongea,nasikia polisi kafukuzwa kazi kwa kudai posho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasongea,nasikia polisi kafukuzwa kazi kwa kudai posho.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by McEM, Aug 21, 2011.

 1. McEM

  McEM Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni kujua,nasikia kuna asikari polisi mmoja songea,kibaru kimeota majani kwa kosa la kuandika barua kwa mh. rais ya kudai kuongezwa posho (ration allowance).
   
Loading...