Wasomi munahitajika huku

Unataka kusema kua bangi siku izi imepanda thamani kias hicho aisee?
Tatizo kila jambo baya wanasingizia bangi! Wengine matatizo yao wenyewe na akili zao, isihusishwe bangi.
 
Uko sawa. Hivi umeshatokaga Havard tangu ile siku unafundisha Combinatorics!???
 
Ni kwamba hizo O ziko mbili, ya kwanza yaani O1 na ya pili, yaani O2. Kwa hiyo unatakiwa usizibadilishe nafasi na kuziweka kwenye nafasi ya tofauti, yaani usiziswap. O1 inatakiwa iendelee kubaki pale pale na O2 nayo pia vile vile!
Hizi ndizo explanations zinazohitajika sasa[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…