Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Na vyombo vya habari nyumbani sijui kama wametangaza hii habari!aisee hii ni kali
Na vyombo vya habari nyumbani sijui kama wametangaza hii habari!
Na vyombo vya habari nyumbani sijui kama wametangaza hii habari!
Hakuna hata chombo cha hbr iliyodhubutu kutangaza hili!
Mficha ficha ugojwa kilio kitamfichua - JK NyerereHakuna hata chombo cha hbr iliyodhubutu kutangaza hili!
Mkuu vimetangaza nimeona karibia mara tatu hii habari
Sidhani kama polisi watajihusisha sana kwa sababu swala hili halina maslahi!yaani wamesjhidwa kuikamata hiyo gari?au wanangoja chadema na wanafunzi waandamane
Sidhani kama polisi watajihusisha sana kwa sababu swala hili halina maslahi!
Vimetangaza sana mkuu sema we ulikuwa bize kwenye bongo flevaNa vyombo vya habari nyumbani sijui kama wametangaza hii habari!
Ooops, rika langu tunasikiliza muziki wa dansi, tena ile twist ya Salum Abdallah enzi za Tanganyika!Vimetangaza sana mkuu sema we ulikuwa bize kwenye bongo fleva
Cha ajabu wasomali wanajiona wako juu kuliko taifa lingine lolote barani Africa. Hapo sasa ndio nashindwa kuwaelewa!Umasikini, njaa na vita ya kudumu somalia vimeshusha thamani ya maisha yao.