Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa sna Mkuu, Ahsante kwa ushauri mzuri. Mungu akubariki snaUchafu kama mtindi kutoka ukeni inaitwa candidiasis, inasababishwa na fungus (candida albicans), na huwa inayobitiwa mara nyingi kwa topical antifungals ambazo unaweka ukeni...huhitaji antibiotics kwa hilo tatizo kwani si bacterial infection, unless kama daktari amenote co-infection ya fungus na bakteria.
Candidiasis hutokea sana kwa wanawake wajawazito kutokana na mabadiliko ya vaginal PH, Dr hakupaswa kukupa Amoxycillin.
Hata hivyo dawa za familia ya Penicillin (Amoxycillin ikiwepo) huwa hazina madhara kwa mimba changa hata watoto wachanga.
Ikitokea Candidiasis tena mchallenge Dr kama akikupa antibiotics, unless awe na sababu ya msingi.
Wakuu habari za mishughuriko..
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu, najua humu ndani kuna madaktari na wenye uelewa juu ya afya ya uzazi.
Nina ujauzito wa miezi minne, awali ya hapo ujauzito wangu ulipokua na mwezi mmoja nilisumbuliwa sna Na ugonjwa wa kutoka uchafu ukeni Kama mtindi. Nikaenda bombo nikapewa Amoxylin na dawa za kutumbukiza ukeni lakin hali ikaenda nikamaliza doz baadae ugonjwa ukajirudia tena, nikapewa dawa tena lakini namshukuru Mungu nikapona kabisa....
Wasiwasi wangu ni hz antibiotics nilizo kunywa je! Hazita niletea madhara kwa mtoto alieko tumboni maana mimba yangu ilikua changa sna nikaugua ugonjwa huu.
Naomba wataalam mnipe ushauri dadaenu maana nawac wac nisijezaa mtoto mlemavu.
Sawa mkuu umesomekaWatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Swala hilo ni very sensitively sio la kuleta hapa Ungeanza kwanza Hospitali kwa maana ukifanya ujinga inachomoka hiyo!!
Wapo humu wataalam nk sikatai. lakini umeenda kliniki? miezi 4 ulitakiwa uanze kliniki. kama bado huo ni uzembe sana ukiwa na mimba halafu unakunywa ovyo dawa. kulea mimba halafu kutoka ni aibu na inapoteza nguvu, mali na nk.
Nenda tena hospitali uwaulize na kupata ushauri zaidi.
Pole dada yangu. Utapona.