Wasiwasi juu ya line yangu

Wasiwasi juu ya line yangu

SAUSTINE CHARLES

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
364
Reaction score
335
Naomba kusaidiwa juu ya hili.nimekuwa nikiwatumia sms watu kwenye simu yangu.lakini tatizo linakuja kwenye upande wa "delivery report"yaani hata kama nmetuma sms 10 report zote zinaenda kwa mtu mmoja ata ambaye sijamtumia.sasa mpaka sasa niko njiapanda kwani nashindwa kuelewa juu ya ili swala,kwamba huyo mtu kafanyaje kwenye line yangu mpaka delivery report zote ziende kwake?mnaofaham naomba mnisaidie
 
Back
Top Bottom