Wasira: Sina hakika na utafti wa Makonda

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
705f241b44edf4a7359b48febd949f0f.jpg

Gazeti la mtanzania la leo limeripoti.kwa maelezo zaidi soma gezeti hilo
 
Enzi hizo akiwa waziri walikua wanai va kweli na Makonda just because wote walikua hawamuungi mkono Joseph Sinde Warioba; sijui kibao kimegeuka tena!?
 
Mzee kuanza kuwa nje ya mzunguko wa siasa za siku kwa siku za ccm akili sasa imeanza kurudi ndio maana anaweza kuhoji mambo aliyo na mashaka nayo.
Bila kuhoji na kudadisi hatuwezi kufika mbali.
 
Mzee kuanza kuwa nje ya mzunguko wa siasa za siku kwa siku za ccm akili sasa imeanza kurudi ndio maana anaweza kuhoji mambo aliyo na mashaka nayo.
Bila kuhoji na kudadisi hatuwezi kufika mbali.
Huyu mtu vipi simuelewi saaana tu. Lakini hivi vyombo vinavyomuandika huwa vunamfuata au yeye ndo huvifuata vyombo manake sioni sababu ya kuhangaika nae wakati muda wake anapaswa kuutumia kuzungumzia maslahi ya wastaafu tu basi. Vinginevyo atatukoroga bureee.
 
Lakini kumbuka ndiye mpaka sasa kiongozi wa timu ya kuandaa sera za chama! Hivyo aba haki ya kuzungumza hayo ya Makonda. Hata hivyo amehoji tuu jee kafanya utafiti?
 
Tukubali huyu Mzee ni Kichwa kwelikweli na anaijuwa siasa na ana uzoefu wa uendashaji wa Serikali.Ilani ya uchaguzi ya CCM kwa kiasi kikubwa iliandaliwa na yeye.
 
Back
Top Bottom