Wasira aja na mpya tena

teh teh teh ! anakwepa kupita kwenye zulia jekundu ila afadhali yake anaamini hatapita ndo maana hataki ajizoeze ya mazulia mekundu du mpaka october tutakutana na miujuza mingi sana.
 
Hahahahahahahahahhahhaha. Ukawa noma lazima wawe na tahadhali kama boss wao alivyowaambia. Wanajua ccm kurudi magogoni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
 
Aliogopa asijefika kati kati akatamani ajiviringishie ka blanketi jamani. Ni mara chache sana utapata blanket refu hivi. Hata ka ni la mahari, hawaleti marefu hivi
 
Yaani mi ukiweka hao watatu ambao ni tayari, naona afadhali hata huyu babu pamoja na vituko vyake.
 
mkuu hata mimi namkubali wassira ukilinganisha na hao wengine.
 
Umesema kweli. Ni msafi na mwenye uwezo wa kukemea rushwa. Anachozungumza anamaanisha kweli kwa maana ya kwamba sio mtu wa maigizo. Zaidi ya yote, hana kindi linalosubiri aingie madarakani lianze kuchuma
 
Kwenye picha za mbele naona kama yupo NN na K/Mkuu vile au?
 
Umesema kweli. Ni msafi na mwenye uwezo wa kukemea rushwa. Anachozungumza anamaanisha kweli kwa maana ya kwamba sio mtu wa maigizo. Zaidi ya yote, hana kindi linalosubiri aingie madarakani lianze kuchuma

si hivyo tu mkuu nimemsikiliza mala nyingi kwenye mahojiano yake na waandishi wa habari ni mtu anayejibu maswali kwa akili sana. anauwezo mkubwa wa kuchambua mambo.
 
Anapenda kuzua magumzo mtaani Mzee huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…