hakuna celebrity ndani ya CDM, wote tupo sawa na tunapigania kumwondoa mkoloni mweusi CCM aliyetawala nchi yetu zaidi ya miaka 51 bila kutuletea maendeleo yanayoonekana.
Kama unabisha kauli yangu kwamba hakuna celebrity CDM, we nenda kamuulize yule aliyekuwa anamongonyoa vipande vya merikebu wakati safari ipo katikati ya bahari atakueleza yaliyomkumba!!
Taratibu tu kamanda badae utatuelewa tu.Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

CCM ni wakoloni tu hima hima tuwaondoe
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa mwana unatumia nini Kibo Gold au Castle light. Una utani wa Ngumi wewe...........hivi Wassira wa TANAPA ni yupi nae ana undugu na Wassira wa Ikulu!!!???Heading yako iliposomeka wasira nikajuwa ni yule wa TANAPA nimeifunguwa kivivu sana cdm jiuuuuuuuu
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Heading yako iliposomeka wasira nikajuwa ni yule wa TANAPA nimeifunguwa kivivu sana cdm jiuuuuuuuu