Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.

Heading yako iliposomeka wasira nikajuwa ni yule wa TANAPA nimeifunguwa kivivu sana cdm jiuuuuuuuu
hakuna celebrity ndani ya CDM, wote tupo sawa na tunapigania kumwondoa mkoloni mweusi CCM aliyetawala nchi yetu zaidi ya miaka 51 bila kutuletea maendeleo yanayoonekana.Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
nina hakika hiyo 90% uliyozungumza nayo ni walewale GONGO INFECTED PEASANTS.. nilitegemea uniambie asilimia 100!!!! kumbe hata wafuasi wako wengine hawatakupigia kura????Hapa Bunda shamrashamra tu asilimia zaidi ya 90 ya watu niliozungumza nao wanasema sasa ni wakati wa mabadiliko, sasa ni Chadema. Akimnadi mgombea wa udiwani Bw Julius Wasira juzi, kada wa Chadema Lilian Wasira alisema hakuna wa kuizuia Chadema katika uchaguzi huu au chaguzi zijazo. Alisema hakuna kitu CCM imeshindwa kufanya kwa miaka 53 itaweza kufanya kwa miaka michache ijayo. Ni Chadema pekee inaweza kuleta ukombozi, alisema. Nae mgombea alisema wampe fursa ya kuongoza na atawawakilisha vema katika kulinda mapato ya halmashauri.
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Hata kama mnywa gongo kura yake ni mojanina hakika hiyo 90% uliyozungumza nayo ni walewale GONGO INFECTED PEASANTS.. nilitegemea uniambie asilimia 100!!!! kumbe hata wafuasi wako wengine hawatakupigia kura????
shame
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.
Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.
Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.
Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
Hapa Bunda shamrashamra tu asilimia zaidi ya 90 ya watu niliozungumza nao wanasema sasa ni wakati wa mabadiliko, sasa ni Chadema. Akimnadi mgombea wa udiwani Bw Julius Wasira juzi, kada wa Chadema Lilian Wasira alisema hakuna wa kuizuia Chadema katika uchaguzi huu au chaguzi zijazo. Alisema hakuna kitu CCM imeshindwa kufanya kwa miaka 53 itaweza kufanya kwa miaka michache ijayo. Ni Chadema pekee inaweza kuleta ukombozi, alisema. Nae mgombea alisema wampe fursa ya kuongoza na atawawakilisha vema katika kulinda mapato ya halmashauri.
Mama yako asingepika gongo wewe ungekuwa bado unapiga mswaki wa mdaha wewenina hakika hiyo 90% uliyozungumza nayo ni walewale GONGO INFECTED PEASANTS.. nilitegemea uniambie asilimia 100!!!! kumbe hata wafuasi wako wengine hawatakupigia kura????
shame
Si kwa Nyasura ata aletwe Jk hakuna kupata kura Ccm