Hili wazo ni zuri, lakini inatakiwa utekelezaji wa hali ya juu. naunga mkono wazo!!hivi kwa nini wadau wote tunaotafuta kazi tusiwe na sauti moja? kwa kuwa na chama chetu tukakisajiri .ambapo tutakuwa tunapanga mikakati mbalimbali.mambo mengi na mengi zaidi?onesheni tuanze kazi.hizi habari za tume ya ajira na mfano wa hivo tunaweza kuvimiliki na wakawa wanatii matakwa yetu sio kama hivi wanavyofanya ishu zao kiujanjaujanja tuu. NAWASILISHA.
hivi kwa nini wadau wote tunaotafuta kazi tusiwe na sauti moja? Kwa kuwa na chama chetu tukakisajiri .ambapo tutakuwa tunapanga mikakati mbalimbali.mambo mengi na mengi zaidi?onesheni tuanze kazi.hizi habari za tume ya ajira na mfano wa hivo tunaweza kuvimiliki na wakawa wanatii matakwa yetu sio kama hivi wanavyofanya ishu zao kiujanjaujanja tuu. Nawasilisha.
hivi kwa nini wadau wote tunaotafuta kazi tusiwe na sauti moja? kwa kuwa na chama chetu tukakisajiri .ambapo tutakuwa tunapanga mikakati mbalimbali.mambo mengi na mengi zaidi?onesheni tuanze kazi.hizi habari za tume ya ajira na mfano wa hivo tunaweza kuvimiliki na wakawa wanatii matakwa yetu sio kama hivi wanavyofanya ishu zao kiujanjaujanja tuu. NAWASILISHA.
uanachama utakoma pindi upatapo ajira
kwa kuwa kitakuwa ni chama hivo kitakuwa na taratibu zake.kupata kazi sio sababu za kutokuwa mwanachama kumbuka lengo litakuwa kupigania haki za wasiopata ajira.ukipata kazi cio active member tenaaaaaaaaaaaa
Kitakuwa na michango?