African Believer
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 436
- 428
ππππ
Wanaanzaje kubadika sasa kwani na wao hawapendi utamu?Ila wake za watu inaonekana mna matatizo kweli maana kila siku kuna threads zinazowahusu
Badilikeni basi
HahahahWanaanzaje kubadika sasa kwani na wao hawapendi utamu?
Mbona waume zao na wenyewe hawajabadilika wapo vilevile kama bado hawajaoa?
Hebu waacheni wake za watu na wao wafaidi utamu wa ladha na mapishi tofauti ya ndizi.
Maendeleo hayana chama
Kama kawaida sasa hivi kila mtu anapenda kubadilisha ladha, tatizo hua ni uthubutu tu kama mume ameweza na anafurahia utamu tofauti kwa nini na mke nae asifurahie banaaaaaaHahahah
Kwa iyo wanashindana..mwaga mboga nimwage ugali
Wakibadilika mtaolewa ninyi, acha tuwafaidi wote.Ila wake za watu inaonekana mna matatizo kweli maana kila siku kuna threads zinazowahusu
Badilikeni basi
Huwa sijui namuonaje mwanaume anayetumia hizi emoji za kujiliza liza vijimachozi..!!ππππ
π£π£π£Huwa sijui namuonaje mwanaume anayetumia hizi emoji za kujiliza liza vijimachozi..!!
Tuelekeze basi namna ya kumjua ndugu
Mkuu, una umri gani!?π£π£π£
Je, wafikiri kuna umuhimu wa kujua umri wangu?Mkuu, una umri gani!?
Ndiyo.. ili nijue km unaendana na emoji za machozi..Je, wafikiri kuna umuhimu wa kujua umri wangu?