Hii ilishafahamika tangu jana,wewe ungesubiri wakishaweka hayo majina kwenye tovuti yao ndo uyaupload humu. Thread kama zako zitakuwa nyingi leo humu. Nadhani hii iliyowekwa jana ilikuwa inatosha: HAPA
Tatizo mnakuja na kuanza kuchangoa mada bila kujua JF inaendaje??
BAN ni adhabu ukikiuka mashart ya jf kasome post ua JF rules pale juu ja jukwaa hili ujue Shelia zake