Maisha ya udom kiujumla ni magumu yani kwa wenye loan na wasio na loan,gharama za maisha ziko juu mf. Compendium lazima ununue,vitin,typing works,chakula mostly ni cafeteria minimum@1500 per meal au ubahatishe kwa wajasi,saa nyingine hela unayo unakosa huduma,maji lazima ununue au udownload we acha tu,anayeishi udom bila loan kajipanga wakuu.kupiga long pass kawaida sana