SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Apr 14, 2013 #21 chapaa said: japo kuwa kila nafsi itaonja mauti huyu angewahi tuu hana maana hata kidogo Click to expand... Wewe nani kakwambia kila nafsi itaonja mauti
chapaa said: japo kuwa kila nafsi itaonja mauti huyu angewahi tuu hana maana hata kidogo Click to expand... Wewe nani kakwambia kila nafsi itaonja mauti
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Apr 14, 2013 #22 Mathayo 16:28 Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
Mathayo 16:28 Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Apr 14, 2013 #23 Vinyongo kwa marehemu havifai jamani forget and forgive songa mbele Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Vinyongo kwa marehemu havifai jamani forget and forgive songa mbele Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,096 Apr 14, 2013 #24 Mmmh! Kumbe marehemu alkua anahemewa kisogoni! Lol
G Geofrey Andrew Sanga JF-Expert Member Joined Apr 8, 2013 Posts 251 Reaction score 55 Apr 19, 2013 #26 risala naomba asomewe ana makinda siku akifa kule kwetu njombe