Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
- Thread starter
-
- #21
N i mnafiki kama minafiki mingine ya CCM,inayodhani chama chao kitatawala milele!!
Na sasa anajifanya kufurukuta baada ya kuona nguvu ya CDM hashuki!
Ndio maana kumbe jamaa(Deo F. Haule) sio mchumia tumbo? Endelea kuwachana tu.
Huyu angefaa kuhama ccm akaja m4c huku angewangata sana ccm.
He dares! Maamuzi magumu ndicho kitu ambacho amekuwa akikifanya.
Vituo vyake vya mafuta vinalipa kodi? TRA ndo wataenda kumsingizia
loh, sikujua kama yuko hivi maana nilimfikiria tofauti pale nilipoona ile picha yake anayopigia watoto magoti.
Inaonekana anayoyasema ndiyo anayomaanisha na kusimamia.
Basi kama hii ndiyo background yake, wananchi na Mungu watakuwa nyuma yake bila ya shaka!
huo ni uongo mbona akina mnyika na akina zitto wanamaisha ya kawaida na hawaogopi kusema ukweli!?unajua umaskini ndo unawafanya wabunge wababaike na kushindwa kukemea maovu, lakini kama
m2 yuko njema sidhani kama atababaika na lolote...sasa mtoto wa mkulima hata akikabwa na
tonge atakufa nalo... big up deo filikunjombe.
Ivi huyu ndo Deo Haule kumbe...yupo vizuri ila yupo wrong destination.. Over
huo ni uongo mbona akina mnyika na akina zitto wanamaisha ya kawaida na hawaogopi kusema ukweli!?
Kumbuka kauli yake ya mwisho kabisa akichangia jana bungeni kasema hiv "Tatizo la CCM ni kukoseana kujiona kama ina haki ya kutawala milele". kwa kauli hii inaonyesha dhahiri huyu ni mtu wa namna gani na anakitazamaje chama chake, hana unafiki hata chembe huyu Deo, Think twice Mzizi wa Mbuyu!
Nimethink zaidi ya hapo mkuu, jamaa wamezidi kwa unafiki.
Wanalia kuliko wafiwa! hizo kauli hata JK huwa anatoa lkn nyuma ya pazia anapiga sanaa tu!